Friday, June 27, 2014

QASWIDA YA LEO: AKIRIMIWE MGENI (RAMADHAANI)

Tusijitie aibu mgeni huyu ni mwema.
Tumuonyeshe adabu, mapenzi na kujituma.
Akirudi kwa Wahabu, Ripoti iwe ni njema.

http://www.goodlightscraps.com/content/ramadan/ramadan-kareem-41.gif
http://www.goodlightscraps.com/content/ramadan-2011/ramadan-kareem-60.gif

1 comments:

Powered by Blog - Designer