NENO LA AWALI
Shukurani zote anastahiki Allah(s.w), Bwana mlezi wa viumbevyote. Rehma na amani ziwaendee Mitume wake wote na wale
wote waliofuata na wanaofuata mwenendo wao katika kuhuisha na
kusimamisha Uislamu katika jamii.
Tunamshukuru Allah(s.w) kwa kutuwezesha kutoa toleo la pili
la Juzuuu ya Sita ya Maarifa ya Uislamu kwa "Darasa la watu
wazima". Toleo hili la pili limeboreshwa zaidi na limewasilishwa
katika sura nane badala ya zile sita za toleo la kwanza. Sura
zilizoongezeka ni "Dhana juu ya Historia" na "Kuhuisha Uislamu
wakati wa Tabii Tabiina". Pamoja na nyongeza ya hizi sura mbili
kuna mengi yaliyongezwa katika toleo hili la pili.
Lengo la juzuu hii, ni kuwawezesha waumini kutekeleza
dhima kuu waliyonayo ya kuuhuisha na kuusimamisha Uislamu
katika jamii DOWNLOAD KITABU CHOTE HAPA.
0 comments:
Post a Comment