...
Tuesday, October 28, 2014
Thursday, October 16, 2014
ZIJUE SUNNAH, TARATIBU, KANUNI NA UMUHIMU WA SALA YA IJUMAA..
Sala ya Ijumaa
Imeitwa Sala ya Ijumaa kwa vile inasaliwa siku ya Ijumaa,
au kwa yale ya kheri yaliomo kwenye siku hii. Sala ya Ijumaa ni bora yao ya
Sala na siku ya Ijumaa ni bora yao ya siku. Hivi ni kwa qauli ya Mtume s.a.w.:
"Bora ya siku zilizochomoza jua juu yake ni siku ya
Ijumaa, siku hio ameumbwa Adam a.s., na siku hio ametiwa Peponi, na siku hio
ametoka Peponi, wala hakitasimama Qiyama isipokuwa siku ya Ijumaa".
(Imehadithiwa...