
‘Arafah ni jabali ambalo Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alisimama katikati ya bonde lake
kuhutubia Maswahaba katika Hajjatul-widaa’i. (hajj ya kuaga), na hapo
ndipo wanaposimama Mahujaji kutimiza fardhi ya Hajj. Kusimama hapo ndio
nguzo mojawapo kuu ya Hajj. Bila ya kusimama ‘Arafah hijjah ya mtu
itakuwa haikutimia kwa dalili ifuatayo:
عن
عبد الرحمن بن يعمر قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: ((الْحَجُّ...