Monday, April 29, 2013

Assalam alleykum warahamatullah


7 comments:

  1. may allah bless you all for preparing this place where muslims shares their ideas.

    ReplyDelete
  2. My Lord! Bestow knowledge and judgement on me, and join me with the righteous. And grant me an honourable mention in later generations. And make me one of the inheritors of the Paradise of Delight."(Surat As Shu'ara 26:83-85)

    ReplyDelete
  3. asalamu alaykum warah matullahi wabaarakaatu: first thanks all due to Allah( the unique one), and peace be upon his messanger (first scientist in the world, who never exist one like him until end of universe), Muhammad S.A.W.& peace be upon his campanions until the day of ressuractions. DEAR Muslim, our prophet Muhammad S.A.W says'' have never entering among you paradise until lover each other, and never love each other until pass greatings amongs you, so pass greatings amongs you to get peace both in the universe and day of ressuraction''. To implement this single Hadeeth, I wish to pass my greatings to all believers '' PEACE BE UPON TO ALL MUSLIM'' is your brother in islam, Abdull Bardisba. Ministry of events and celebrations: MSAMWU.

    ReplyDelete
  4. asalamu alaykum warah matullahi wabaarakaatu: first thanks all due to Allah( the unique one), and peace be upon his messanger (first scientist in the world, who never exist one like him until end of universe), Muhammad S.A.W.& peace be upon his campanions until the day of ressuractions. DEAR Muslim, our prophet Muhammad S.A.W says'' have never entering among you paradise until lover each other, and never love each other until pass greatings amongs you, so pass greatings amongs you to get peace both in the universe and day of ressuraction''. To implement this single Hadeeth, I wish to pass my greatings to all believers '' PEACE BE UPON TO ALL MUSLIM'' is your brother in islam, Abdull Bardisba. Ministry of events and celebrations: MSAMWU.

    ReplyDelete
  5. peace be upon to those who passthrough this blog to see what their fellow islam, says ' be proudly welcomee to our blog. Abdull Barisba, ministry of events and celebrations: MSAMWU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UHARAMU WA PICHA

      Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.

      Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allahu 'anhum jamiy'an) na watangu wema mpaka Siku ya Qiyaamah.
      Sa‘iyd bin Abul Hasan amesema nilipokuwa na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Llaahu ‘anhuma) alikuja mtu akasema, “Ewe Ibn ‘Abbaas! Riziki yangu inatokana na kazi yangu ya kutengeneza picha hizi”. Ibn ‘Abbaas (Radhiya Llaahu ‘anhuma) alisema: “Nitakuambia yale tu niliyoyasikia kutoka kwa Mtume wa Allah (Swalla Llaahu 'alayhi wa sallam). Nilimsikia akisema, ‘Yeyote mwenye kutengeneza picha ataadhibiwa na Allah mpaka aitie uhai na hataweza kufanya hivyo’”. Aliposikia hayo yule mtu alivuta pumzi na uso wake ukaiva. Ibn ‘Abbaas (Radhiya Llaahu ‘anhuma) alimuambia: “Sikitiko lilioje! Ikiwa huna budi mpaka ufanye picha basi nakunasihi uchore picha za miti na kitu chengine chochote ambacho hakina uhai” (Al-Bukhaariy)

      Imepokewa kwa ‘Aaishah (Radhiya Llaahu ‘anha) kuwa niliupamba mto wa Mtume (Swalla Llaahu 'alayhi wasallam) na picha (michoro) za wanyama ambacho kilionekana kama Namruqa (mto mdogo). Alikuja akasimama kati ya watu akiwa na taharuki iliyoonekana usoni mwake. Nikasema, “Ewe Mtume wa Allah! Kuna nini?” Akasema: “Huu mto ni wa nini?” Nilisema: “Nimeutayarisha kwa ajili yako ili upate kuuegemea”. Alisema: “Kwani wewe hujui kuwa Malaika hawaingii katika nyumba ambazo kuna picha ndani yake; na yeyote mwenye kutengeneza picha ataadhibiwa Siku ya Qiyaamah na ataambiwa kukipatia uhai (kwa alichokiumba)” (Al-Bukhaariy)

      Na Allah Anajua zaidi.

      Delete
  6. assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh

    ReplyDelete

Powered by Blog - Designer