Thursday, January 23, 2014

TANGAZO

ASSALAM ALLEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

Jumuiya ya waislamu MWUCE inawataarifu wanajumuiya kuwa warudipo mwezi wa  tatu chuoni wanatakiwa kuja na mchango wa mahafali. mchango huo utakuwa kwa mchaganuo ufuatao.
     
               Wahitimu wote Tsh.   10000/=
                wanaosalia       Tsh.    5000/=    

 Tafadhali wahisha mchango wako mapema ili kufanikisha hili
                                       WABILLAH TAWFIQ


1 comments:

Powered by Blog - Designer