Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika
mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi
ya Pili kwa kupata Alama 98.Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis
Sultan( 14), akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30
Tashjii, ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo kwa kupata
alama 99. Mwanafunzi kutoka Zanzibar Ali Khamis Mohammed (23)akishiriki
katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30-Tashjii yalioandaliwa na
Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar, ameshinda nafasi ya tatu kwa
kupata alama 90. katika mashindano hayo yaliowashirikishwa Wanafunzi
watatu kutoka Zanzibar.