Sunday, June 19, 2016

Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.

 Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi ya Pili kwa kupata Alama 98.Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis Sultan( 14), akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii, ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo kwa kupata alama 99. Mwanafunzi kutoka Zanzibar Ali Khamis Mohammed (23)akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30-Tashjii yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar, ameshinda nafasi ya tatu kwa kupata alama 90. katika mashindano hayo yaliowashirikishwa Wanafunzi watatu kutoka Zanzibar.

2 comments:

Powered by Blog - Designer