Sunday, June 19, 2016
Home »
» Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.
Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.
Unknown 9:52 AM
Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika
mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi
ya Pili kwa kupata Alama 98.Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis
Sultan( 14), akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30
Tashjii, ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo kwa kupata
alama 99. Mwanafunzi kutoka Zanzibar Ali Khamis Mohammed (23)akishiriki
katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30-Tashjii yalioandaliwa na
Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar, ameshinda nafasi ya tatu kwa
kupata alama 90. katika mashindano hayo yaliowashirikishwa Wanafunzi
watatu kutoka Zanzibar.
Related Posts:
TAHIYYATUL MASJID NA SUNNATUL UDHUI TAHIYYATUL MASJID Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kasema: “Yeyote miongoni mwenu atakapoingia Msikitini, hapaswi kukaa mpaka aswali rakaa mbili.” [Al-Bukhaariy na Muslim] Jaabir (Radhiya Allaahu '… Read More
'ARAFAH ITAKUWA JUMAPILI (11.09.2016) NA 'IYD AL-ADHW-HAA NI JUMATATU (12.09.2016M) Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe 1 Dhul-Hijjah itakuwa ni Jumamosi 03.09.2016. Vilevile tunapenda kuwakumbusha na kuwapa nasaha ya kufunga siku ya 'Arafah ambayo itakuwa siku ya Jumapili tarehe 9 Dhul… Read More
HUKMU YA KUMLAZIMISHA MSICHANA KUOLEWA. ==================== من فتاوى فضيلة الشيخ العلامة صالح الفوزان حفظه الله.Kutoka katika fataawa za sheikh Mwanachuoni Swaaleh Alfauzaan-Allaah amuhifadhi.📌 السؤال :هل للأب إجبار ابنته على الزواج؟*Suali:*Je inajuzu kw… Read More
Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar. Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi ya Pili kwa kupata Alama 98.Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis Sultan… Read More
SIKU KUMI BORA KABISA ZA ALLAAH - 01 - 10 DHUL-HIJJAH. Inatupasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'alaa) kwa neema Aliyotujaalia ya kutuwekea miezi mitukufu, au siku tukufu au nyakati tukufu ambazo vitendo vyake vyema huwa na thawabu nyingi sana. Na hivi tunakaribia kabisa… Read More
Allahumma baarik lahum
ReplyDeleteاللهم بارك لهم
ReplyDelete