Sunday, June 19, 2016
Home »
» Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.
Mashindano ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar Masjid Afraa Bint Issa -Kidongochekundu Zanzibar.
Unknown 9:52 AM
Mwanafunzi kutoka Zanzibar, Nassir Rashid Seif (15) akishiriki katika
mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 Tashjii akiwa ameshinda nafasi
ya Pili kwa kupata Alama 98.Mwanafunzi kutoka Zanzibar Masoud Khamis
Sultan( 14), akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30
Tashjii, ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo kwa kupata
alama 99. Mwanafunzi kutoka Zanzibar Ali Khamis Mohammed (23)akishiriki
katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an Juzuu 30-Tashjii yalioandaliwa na
Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar, ameshinda nafasi ya tatu kwa
kupata alama 90. katika mashindano hayo yaliowashirikishwa Wanafunzi
watatu kutoka Zanzibar.
Related Posts:
WAUMINI WA KIISLAM WALIOHUDHURIA IBADA YA EID EL HAJJ MSIKITI WA RIADHA. Waumini wa Kiislamu kutoka Chuo Kikuu cha Mwenge wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumaliza salama Ibada ya Eid Hajj katika Msikiti wa Riadha - Moshi. Picha na Albadau Mohamed Wanachuo wa MWECAU. Picha na Ismail … Read More
DALILI ZA KUKARIBIA KWA SIKU YA QIYAAMAH Mwenyezi Mungu Amemleta Mtume wake Muhammad (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) akiwa kama ni mletaji habari njema na muonyaji ambaye hakuacha jambo lolote la kheri isipokuwa ametujuulisha nalo na kutuhimiza kulikimbilia, na … Read More
ZIJUE SUNNAH, TARATIBU, KANUNI NA UMUHIMU WA SALA YA IJUMAA.. Sala ya Ijumaa Imeitwa Sala ya Ijumaa kwa vile inasaliwa siku ya Ijumaa, au kwa yale ya kheri yaliomo kwenye siku hii. Sala ya Ijumaa ni bora yao ya Sala na siku ya Ijumaa ni bora yao ya siku. Hivi ni kwa qauli ya Mtume&… Read More
SHEREHE YA KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA MWENGE UNIVERSITY 2014/2015. … Read More
Sunnah Gani Za Kabla Na Baada ya Swalah Ya Ijumaa Zinapasa Kuswaliwa? SWALI Nawashukuru mashehe wetu kutujibia masuali kwani hatuna pengine pa kuuliza hasa huku nchi za nje ni shida kupata mtu wa kuuliza masuali hivo tunafanya mambo bila kujua ipasavo. Mungu awalipe m… Read More
Allahumma baarik lahum
ReplyDeleteاللهم بارك لهم
ReplyDelete