
Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe 1 Dhul-Hijjah itakuwa ni Jumamosi 03.09.2016.
Vilevile tunapenda kuwakumbusha na kuwapa nasaha ya kufunga siku ya
'Arafah ambayo itakuwa siku ya Jumapili tarehe 9 Dhul-Hijjah 1437 H
(11.09.2016 M) In Shaa Allaah. Fadhila yake ni kufutiwa madhambi ya
miaka miwili; uliopita na unaofuati...