Darsa :01 ( UTANGULIZI WA DARSA LETU )
Sifa zote zamstahiki Allaah ﺳﺒﺤﺎﻧﻪ ﻭﺗﻌﺎﻟﻰ Ambaye Amesema katika aayah iliyo wazi kwenye Kitabu Chake:
(( ﻭَﻣِﻦْ ﺁﻳَﺎﺗِﻪِ ﺃَﻥْ ﺧَﻠَﻖَ ﻟَﻜُﻢ ﻣِّﻦْ ﺃَﻧﻔُﺴِﻜُﻢْ ﺃَﺯْﻭَﺍﺟًﺎ
ﻟِّﺘَﺴْﻜُﻨُﻮﺍ ﺇِﻟَﻴْﻬَﺎ ﻭَﺟَﻌَﻞَ ﺑَﻴْﻨَﻜُﻢ ﻣَّﻮَﺩَّﺓً ﻭَﺭَﺣْﻤَﺔً ﺇِﻥَّ
ﻓِﻲ ﺫَﻟِﻚَ ﻟَﺂﻳَﺎﺕٍ ﻟِّﻘَﻮْﻡٍ ﻳَﺘَﻔَﻜَّﺮُﻭﻥَ )) ((Na katika Ishara
Zake ni kuwa Amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate
utulivu kwao. Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika
haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri))...