ASSALAM ALLEYKUM WARRAHMATULLAH WABARAKATUH
Jumuiya ya wanafunzi wa kiislamu chuo kikuu cha Mwenge, Inayofuraha kuwapongeza wanajumuiya wake NURU RAJAB na NASSORO ISSA kwa kutia azma ya kutimiza ibada ya ndoa. Ndoa itakayofanyika mnamo mapema mwezi julai mwaka huu. Jumuiya inawaomba na kuwaarifu wanjumuiya kutoa ushirikiano wa hali na mali na kuwaunga mkono kwa kuwawaombea DUA katika kufanikisha adhma hiyo.
kila kheri ALLAH awanyie wepesi katika ibada hiyo.
WABILLAH TAWFIIQ
Maaa shaa Allah, may Allah be with them in all steps tht they pass by
ReplyDeleteKila la kheri iwe mfano kwa wengine
ReplyDeleteMASHAAALLAH KHEIRY YA KHARUSI
ReplyDelete